Round Neck Plain T-Shirt (400g)
T-shirt nzito za 400g, laini na zenye kudumu.
Hazififii rangi, zinafaa kuvaa kila siku au kwa branding.
Inapatikana kwa rangi na size mbalimbali.
SKU: SF-2443-OS8N
Categories: Clothing
Round Neck Plain T-Shirt (400g)
T-shirt za round neck zenye ubora wa juu, 400g heavy cotton.
Laini, nzito, hazichoki haraka wala kufifia rangi.
Zinafaa kwa matumizi ya kila siku, biashara, au branding.
📌 Plain design
📌 Comfort ya hali ya juu
📌 Zinadumu muda mrefu
📌 Inapatikana kwa rangi na size mbalimbali
Chaguo sahihi kwa mtindo wa kawaida na wa kitaalamu.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Please login to write review!
Looks like there are no reviews yet.