0 0
0
No products in the cart.

MIXED HANDBAG

TSH6,096.00

Mixed Hand Bag ni mkoba wa kisasa uliobuniwa kwa mchanganyiko wa mitindo ya kuvutia, unaokupa muonekano wa classy na wa kujiamini. Umetengenezwa kwa material imara na ya ubora wa juu, unaodumu kwa matumizi ya muda mrefu. uapata aina tofauti tofauti za mikoba ,Unafaa kwa matumizi ya kila siku, kazini, matembezini na outing, ukiwa na nafasi ya kutosha kubeba vitu vyako muhimu kwa urahisi na usalama agiza kwa ajili ya biashara.

(Available)
🚢
Ship Delivery: May 18 - Jun 02
Quantity

SKU: SF-2443-DPDR

Categories: Fashion & Beauty

Tags: mikoba, mikobachambuu

Mixed Hand Bag

Product Description

Mixed Hand Bag ni mkoba wa kisasa uliotengenezwa kwa mchanganyiko wa mitindo ya kuvutia na inayokwenda na fashion ya sasa. Mkoba huu umeundwa kwa material imara na bora, unaofaa kwa matumizi ya kila siku na hafla mbalimbali. Unakupa muonekano wa nadhifu, wa kisasa na wa kujiamini.


Product Features (Vipengele)

  • Muundo wa kisasa wenye mixed design
  • Material imara na inayodumu kwa muda mrefu
  • Muonekano wa kuvutia na wa kifahari
  • Nafasi ya kutosha kubeba vitu muhimu vya kila siku
  • Nyepesi na rahisi kubeba
  • Inafaa kwa matumizi ya kazini, matembezini na outing
  • Haichoki haraka hata kwa matumizi ya mara kwa mara

Specifications

  • Product Name: Mixed Hand Bag
  • Category: Ladies Bags / Fashion Accessories
  • Material: Synthetic Leather / Mixed Fabric
  • Color: Mixed Colors
  • Closure Type: Zip / Button
  • Usage: Daily, Office, Casual
  • Gender: Women
  • Condition: Brand New

Add your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Please login to write review!

Upload photos

Looks like there are no reviews yet.

Related products

Live Chat Online

Hi there! How can we help you today?

Powered by Kar Live Chat
Your experience on this site will be improved by allowing cookies Cookie Policy